Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Nyongeza jina la Kiingereza
Mstari 13:
}}
 
'''Mafua ya kawaida''' (pia '''mafua ya kuku''' au '''mafua''' tu; kwa [[Kiingereza]]: [[w:common cold|common cold]], nasopharyngitis, rhinopharyngitis), ni [[ugonjwa wa kuambukizwa]] unaoathiri sehemu ya juu ya [[mfumo wa upumuaji]], hasa [[pua]] na [[shingo]].
 
[[Dalili]] ni pamoja na [[kikohozi]], utoaji [[kamasi]] puani ''(rhinorrhea)'', na [[homa]]. Dalili kwa kawaida hupotea baada ya [[siku]] saba hadi kumi, ingawa baadhi ya dalili zake zinaweza zikakaa hadi [[wiki]] tatu.