Tofauti kati ya marekesbisho "Kundi la spektra"

416 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Hertzsprung-Russel.png|350px|thumb|Nyota jinsi zinavyopatikana katika makundi ya spektra]]
'''Kundi la spektra''' (kwa [[Kiingereza]]: spectral class, spectral type) ni namna ya kutaja [[idadi]] ya [[nyota]] zenye [[tabia]] za [[Fizikia|kifizikia]] za pamoja jinsi zinavyoonekana katika uchambuzi wa spektra ya [[nuru]] zake.
 
Mwanga wa nyota unapitishwa katika [[mche maonzi]] ''(prism)'' unapopindwa na kutoka kama kanda la rangi mbalimbali zilizomo ndani yake pamoja na mistari meusi ya ufyonzaji na mistari meupe ya utoaji. Kila mstari hudokeza kuwepo kwa [[elementi za kikemia]] ilhali upana wa mstari unadokeza uwingi wa elementi hiyo.
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Astronomia]]