Ufashisti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:National Fascist Party logo.svg|thumb|right|200px|[[Fascio Littorio]], ishara ya ufashisti iliyoupatia jina.]]
[[Picha:Mussolini and Hitler 1940 (retouched).jpg|thumb|Benito Mussolini na Adolf Hitler, viongozi wa ufashisti katika Ulaya]]
'''Ufashisti''' ni [[siasa]] ya [[mrengo wa kulia]] ambayo ilitawala [[Italia]] tangu mwaka [[1922]] hadi [[1943]] ikiongozwa na [[mwanzilishi]] wake, [[dikteta]] [[Benito Mussolini]] ([[1883]]-[[1945]]).
 
Kutokana nayo, aina za siasa zinazofanana zinaitwa pia ufashisti. Nchi nyingine ambako siasa ya kifashisti ilitawala, zilikuwa pamoja na [[Ujerumani]] chini ya [[Adolf Hitler]] na kwa kiasi kidogo pia [[Hispania]] chini ya [[Francisco Franco]]. Ufashisti ulienea hasa Ulaya katika nusu ya kwanza ya karne ya 20.
 
Tabia za ufashisti ni uzalendo mkali, utawala wa kidikteta, ukandamizaji wa upinzani wote, na majaribio ya kuathiri sehemu zote za jamii na pia za uchumi.
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-siasa}}