Lugha za Kihindi-Kiajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Indo-European branches map.png|300px|thumb|Lugha za Kihindi-Kiulaya; buluu: maeneo ya lugha za Kihindi-Kiajemi]]
'''Lugha za '''Kihindi-Kiajemi''' ni kundi kubwa zaidi katika familia ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Zinajumuisha lugha za Kihindi-Kiarya na lugha za Kiajemi (Irani). Zinazungumzwa zaidi kwenye [[Bara Hindi]] na [[Nyanda za Juu za Iran]]. Hapo zamani zilitumiwa pia katika [[Asia ya Kati]], mashariki mwa [[Bahari ya Kaspi]] .
 
== Lugha za Kihindi-Kiarya ==