Joan Baez : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongeza taarifa
Nimeongeza taarifa
Mstari 2:
[[File:Joan Baez 02.jpg|thumb|right|Joan Baez, 2014.]]
[[File:Joan Baez at the The Egg (Albany, NY), March 2016.jpg|thumb|right|Joan Baez, 2016.]]
'''Joan Chandos Báez''' (maarufu kama '''Joan Baez''' tu; alizaliwa [[Staten Island]], [[New York]], [[9 Januari]] [[1941]])<ref>{{cite news|url= https://www.upi.com/Top_News/2020/01/09/UPI-Almanac-for-Thursday-Jan-9-2020/6871578415895/|title= UPI Almanac for Thursday, Jan. 9, 2020|work= [[United Press International]] | date= January 9, 2020|access-date=January 16, 2020 |archive-date= January 15, 2020|archive-url= https://archive.today/20200115192229/https://www.upi.com/Top_News/2020/01/09/UPI-Almanac-for-Thursday-Jan-9-2020/6871578415895/|url-status=live|quote=…singer Joan Baez in 1941 (age 79)}}</ref> ni [[mwimbaji]] [[mwanamke]], [[mwandishi]] wa [[nyimbo]], [[mwanamuziki]] na mwanaharakati kutoka nchi ya [[Marekani]].<ref>{{cite web|last=Westmoreland-White|first= Michael L. |date=February 23, 2003 |url=http://www.ecapc.org/articles/WestmoW_2003.02.23.asp |title=Joan Baez: Nonviolence, Folk Music, and Spirituality|publisher=Every Church A Peace Church|archive-url=https://web.archive.org/web/20040722044934/http://www.ecapc.org/articles/WestmoW_2003.02.23.asp |archive-date=July 22, 2004
|access-date=November 3, 2013}}</ref>
 
==Maisha binafsi==
===Mahusiano ya awali===
Mpenzi wake Baez halisi wa kwanza alikuwa Michael New, [[mwanafunzi]] mwenzake kutoka [[Trinidad]] na [[Tobago]] ambaye alikutana nae katika [[chuo]] chake mwishoni mwa mwaka 1950. Miaka baadae mnamo 1979, alichochea [[wimbo]] wake ''“Michael”''. Kama Baez, alihudhuria masomo mara kwa mara. Wawili hao walitumia muda mwingi pamoja, lakini Baez alishindwa kuweka usawa kati ya [[kazi]] yake inayokua na mahusiano yake. Wawili hao waligombana na kupatana mara kwa mara, lakini ilikuwa dhahiri kwa Baez kwa New alikuwa anaanza kuchukia mafanikio yake na umashuhuri wake wa ndani mpya aliojipatia. Usiku mmoja alimwona akimbusu mwanamke mwingine kwenye [[kona]] ya [[mtaa]]. Licha ya hili, uhusiano wao ulibaki imara kwa miaka mingi baada ya kwenda [[California]] pamoja mnamo 1960.
 
== Diskografia ==