Cherero : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza spishi katika sanduku
dNo edit summary
Mstari 27:
'''Cherero''' au '''kasuku-mapenzi''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Agapornis]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Psittaculidae]]. Ndege hawa ni aina ya [[kasuku]] wadogo na wana rangi kali. Mkia wao ni mfupi kuliko kasuku wengine lakini kama hawa miguu yao ina vidole viwili vikabilivyo mbele na viwili vikabilivyo nyuma. Domo lao lina nguvu sana na mataya yamepindika kwa pande za kuelekea kama koleo. Cherero wanatokea [[Afrika]] na [[Madagaska]]. Hula [[tunda|matunda]], [[mboga]], [[mbegu]] na pengine [[mdudu|wadudu]]. Dume na jike wanaishi pamoja kwa maisha yao yote. Hupitisha muda mrefu wakikaa karibu sana. Kwa hivyo huitwa '''kasuku-mapenzi''' pia. Jike huyataga [[yai|mayai]] 3-8 tunduni kwa mti.
 
==Spishi ya Afrika==
* ''Agapornis canus'', [[Cherero Kichwa-kijivu]] [[w:Madagascar Lovebird|Madagascar]] au Grey-headed Lovebird)
** ''Agapornis c. ablectaneus''