Audrey Blignault : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
 
==Maisha yake ==
Binti wa mama kutokea [[Ireland]] na baba Mwafrikana ambaye alikuwa meya wa jiji, '''Audrey Bettie Swart''' alizaliwa huko [[Bredasdorp]]. Alisomea [[fasihi]] ya [[Kiafrikaans|Kiafrikana]] katika chuo cha Stellenbosch na kupata shahada ya uzamili katika [[sanaa]] katikaya lugha za Afrikana na Kiholanzi.
 
Mwaka [[1940]], alianza kufundisha huko Wellington, baadaye Stellenbosch. Mwaka [[1945]], akawa mhariri wa ''Die Huisvrou'', jarida la masuala ya wanawake. Mwaka huohuo, alianza program katika redio mahususi kwa ajili ya kitabu chake cha kwanza kwa lugha ya Afrikaana. Kwa kipindi cha miaka 25, ameandika Makala nyingi katika jarida ya wanawake wa Afrikana kwa jina la ''Sarie''. Insha kutoka katika Makala hizo zilikusanywa na kuchapishwa katika vitabu 17. Mkusanyo wa barua zake kama ''Audrey Blignault: ’n Blywende vreugde'' ulichapishwa mnamo Mei [[2008]].<ref name=times>{{cite news |url=https://www.pressreader.com/south-africa/sunday-times/20081005/282815007061321 |title=Audrey Blignault:Prolific essayist |newspaper=Sunday Times |date=October 5, 2008}}</ref> Blignault alikua pia ni mhariri wa ''Naweekpos'' na alikuwa mkurugenzi wa kipindi cha wanawake na utamaduni katika kituo cha redio cha Afrika Kusini.<ref name=mieliestronk>{{cite web |url=http://www.mieliestronk.com/skryfaudblig.html |title=Audrey Blignault |work=Skrywers in Afrikaans |publisher=Mieliestronk |language=af}}</ref>