Thule : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 7:
Kutokana na [[imani]] hii jina la "Ultima Thule", ambalo ni [[Kilatini]] kwa "Thule ya mwisho" limekuwa namna ya kutaja "mwisho wa Dunia".
 
Katika mwezi wa [[Machi]] [[2018]] [[NASA]] iliamua kuita [[kiolwa cha angani]] katika [[Ukanda wa Kuiper]] "Ultima Thule" kwa sababu ni kiolwa cha mbali kabisa kitakachotembelewa na [[kipimaanga]] New Horizon mnamo [[tarehe]] [[1 Januari]] [[2019]]<ref>[https://www.nasa.gov/feature/new-horizons-chooses-nickname-for-ultimate-flyby-target New Horizons Chooses Nickname for ‘Ultimate’ Flyby Target], tovuti ya NASA, 3 Machi 2018</ref>. Mnamo mwaka 2019 [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] uliamua jina rasmi kuwa "Arrokoth".
 
==Kujisomea==