Kaisari Wilhelm II : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|he}} (3) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 4:
Alizaliwa kama mtoto wa mfalme mteule [[Kaisari Friedrich III|Friedrich III]] na mjukuu wa [[Kaisari Wilhelm I]]. Babake alikufa baada ya utawala mfupi wa siku 99 pekee hivyo Wilhelm II akawa mfalme na kaisari akiwa na umri wa miaka 29. Mwanzoni alitawala pamoja na [[chansella]] [[Otto von Bismarck]] lakini baada miezi michache alifarakana naye na kumwachisha.
 
Wilhelm alitaka kupatanisha wafanyakazi wa Ujerumani -waliofuata chama cha kisoshalisti- na utawala wa kifalme lakini hakuwa tayari kuongeza demokrasia. Alichukia bunge lililokataa mara kadhaa kukubali madai yake ya kupanusha jeshi. Alipigania upanuzi wa jeshi la maji, uliojenga wasiwasi za Uingereza kuhusu uhusiano wake na Ujerumani.
Wataalamu wanaona ya kwamba alikuwa na wajibu kubwa kwa kutokea kwa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Baada ya kupinduliwa wakati wa upinduzi wa Ujerumani wa 1918 alihamia [[Uholanzi]] alipokufa na kuzikwa kwa sababu hakutaka kuzikwa katika Ujerumani isiyo na utaratibu wa kifalme.
 
Akiwa pia mkuu wa koloni za Ujerumani, kama vile [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Aliona koloni kama swali la heshima ya kitaifa, ilhali hakujali wenyeji na tamaduni zao.
 
Wataalamu wanaona ya kwamba alikuwa na wajibu kubwa kwa kutokea kwa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]].
 
Mwaka 1918, baada ya vita ya miaka minne, wafanyakazi na wanajeshi wa Ujerumani waligoma. wilhelm pamoja na wafalme na makabaila wote wa Ujerumani walipinduliwa na Ujerumani ilikuwa jamhuri. Wilhelm alihamia [[Uholanzi]] alipoishi hadi mwaka 1941. Hapa alikufa na kuzikwa kwa sababu hakutaka kuzikwa katika Ujerumani isiyo na utaratibu wa kifalme.