Sokwe Mtu wa Kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Sahihisho
Mstari 25:
* ''[[Pan troglodytes verus|P. t. verus]]'' <small>[[Ernst Schwarz|Schwrz]], 1934</small>
| ramani = Pan troglodytes area.png
| maelezo_ya_ramani = MsambazoMsambao wa sokwe mtu wa kawaida: 1. sokwe mtu magharibi, 2. sokwe mtu wa Nijeria, 3. sokwe mtu wa kati, 4. sokwe mtu mashariki.
}}
'''Sokwe Mtu wa Kawaida''' (''Pan troglodytes'') ni jina la [[nyani]] wakubwa wa familia [[Hominidae]] wanaofanana sana na [[binadamu]]. Sokwe Mtu wa Kawaida wanaishi katika maeneo ya tropiki ya [[Afrika]].