Bundi (Tytonidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza picha
Sahihisho
 
Mstari 19:
Bundi huwinda usiku na hupumzika mchana. Wanamlenga mbuawa wao kwa msaada ya [[sikio|masikio]] yao. [[Unyoya|Manyoya]] ya uso yapeleka [[wimbisauti|mawimbisauti]] kwa vipenyo vya masikio viliopo mahali tofauti kidogo kimoja kuliko kingine. Hivyo wanaweza kumkamata mbuawa bila kumwona. Mbuawa hawezi kumsikia bundi akija, kwa sababu mabawa ya bundi hayafanyi sauti yo yote kwa kuwa kingo ya mbele ya manyoya ya mabawa imekerezekakerezeka na ile ya nyuma ina matamvua. Hii inapunguza vurugu ya [[hewa]] na kwa hivyo uvumi.
 
==MsambazoMsambao==
Familia hii inayosambaa kwenye eneo pana, ingawa haipo katika kaskazini mwa [[Amerika ya Kaskazini]], [[Sahara]] ya [[Afrika]] na maeneo makubwa ya [[Asia]]. Wanaishi katika makazi mengi kutoka [[jangwa]] hadi [[msitu|misitu]] na kutoka kanda za wastani hadi za [[tropiki]]. Nyingi za spishi [[ishirini]] zilizopo bado za bundi hazijulikani sana. Baadhi, kama [[Bundi Mwekundu|bundi mwekundu]], wameonekana kwa nadra au kutafitiwa kidogo tu tangu uvumbuzi wao, kinyume na [[bundi-mabanda]] ambaye ni mojawapo ya spishi maarufu za bundi [[dunia]]ni. Hata hivyo, [[nususpishi]] kadhaa za bundi-mabanda hustahili kuwa spishi tofauti, lakini hazijulikani sana.