Mbung'o : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Sahihisho
Mstari 44:
** ''[[Glossina tachinoides|G. tachinoides]]'' <small>Westwood, 1850</small>
| ramani = Tsetse distribution.png
| maelezo_ya_ramani = MsambazoMsambao wa mbung'o
}}
'''Mbung'o''', '''chafuo''' au '''ndorobo''' ni [[nzi]] wa [[jenasi]] ''[[Glossina]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Glossinidae]] katika [[oda]] [[Diptera]] ambao wanafyonza [[damu]] ya [[mamalia]] pamoja na [[binadamu|watu]]. Wanaenezea watu [[ugonjwa wa malale]] na [[mnyama|wanyama]] [[nagana]], yanayosababishwa na [[kijidudu|vijidudu]] wa jenasi ''[[Trypanosoma]]''. Nzi hao hutokea [[Afrika]] tu (angalia [[ramani]]).