Nozeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:Water_nozzle.jpg|thumb|Nozeli ya maji]]
 
'''Nozeli''' (kutoka [[Kiingereza]]: ''nozzle''<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Nozzle</ref>) ni [[kifaa]] kilichobuniwa na kutengenezwa kwa madhumuni ya kuelekeza na kubadilisha [[tabia]] ya [[kimiminika]] au [[gesi]] inayopita ndani yake.