Gameti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:Sperm-egg.jpg|thumb|Gameti]]
'''Gameti''' (kutoka [[neno]] la [[Kigiriki]]: γαμετή, gamete, linalohusiana na [[kitenzi]] gamein, "kuoa") ni [[kiini]] cha [[Jinsia|kijinsia]] ambacho kinaungana na [[kiini]] cha jinsia nyingine ili kutunga [[mimba]] katika [[viumbehai]] wanaozaliana.