Denver Nuggets : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha: George_Karl.jpg|thumb|George Karl aliteuliwa kuwa Kocha wa Mwaka wa NBA mnamo 2013, msimu wake wa mwisho huko Denver]]
'''Denver Nuggets''' ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini [[Denver, Colorado]]. Wanachezea katika [[Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani|Chama cha Mpira wa Kikapu]] nchini [[Marekani]]. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na [[Jamaal Murray]].