EIA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 3 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha: The_Earth_seen_from_Apollo_17.jpg|thumb|"Jiwe La Bluu" ni picha maarufu ya Dunia iliyopigwa mnamo Desemba 7, 1972, na wafanyikazi wa chombo cha angani cha Apollo 17 kilichokuwa kikienda Mwezi kwa umbali wa kilometa kama 29,000 (18,000 mi). Inaonyesha Afrika, Antaktika, na Peninsula ya Arabia.]]
'''EIA''' ni [[kifupisho]] cha '''environmental impact assessment''' yaani ''tathmini ya athari kwa mazingira''. Hiyo inahusu kuchunguza utendaji wa [[binadamu]] unavyoweza kuathiri [[mazingira]] yake yote ili kukwepa [[uharibifu wa mazingira]].