Dioksidi kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Carbon-dioxide-2D-dimensions.png|right|thumb|200px|Dioksidi kabonia]]
''' Dioksidi kabonia''' (pia: '''Dioxidi ya kaboni''', pia kabonidayoksidi<ref>dioksidi kabonia ni pendekeo la KAST, dioksidi ya kaboni ya [[TUKI-ESD]]D<sup>3</sup>, kabonidayoksaidi ya [[KKS|TUKI-KKS]], </ref>, '''Hewa ukaa''', '''Gesi ya ukaa''') ni [[kampaundi]] inayounganisha [[atomi]] [[mbili]] za [[oksijeni]] na atomi [[moja]] ya [[kaboni]] katika [[molekuli]]. [[Fomula]] yake ya [[Kemia|kikemia]] ni '''CO<sub>2</sub>'''.
 
Katika [[mazingira]] ya kawaida hutokea kama [[gesi]] inayoganda kwenye [[halijoto]] chini ya -78.5[[°C]]. Katika hali ya gesi haina [[ladha]] wala [[harufu]].