Polandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 89:
Nchi ilistawi na kuenea hasa chini ya [[ukoo]] wa [[Jageloni]] ([[1386]]–[[1572]]).
 
===Poland-Lithuania===
Kuanzia mwaka [[1764]] nchi ilianza kurudi nyuma na zile za jirani ziligawana kwa awamu tatu ([[1772]], [[1793]], [[1795]]) eneo lake lote.
Katika miaka ya 1569–1795 Poland iliunganishwa na Lithuania katika shirikisho ya kifalme. Mfalme wa Poland alikuwa pia mtawala wa lithuania, na tangu mapatano ya Lublin nchi zote mbil zilikuwa na bunge la pamoja, lakini kila sehemu iliendeea na sheria zake na jeshi la pekee. Bunge la pamoja lililokuwa hasa mkutano wa makabaila wote lilikuwa na mamlaka ya kumchagua mfalme likapata ushawishi mkubwa.
 
Wagombea wa ufalme waliachana na mamlaka za kifalme wakijaribu kupata kura nyingi za wabunge na hivyo nguvu ya dola lilififia. Kuanzia mwaka [[1772]] majirani ya Poland Urusi, Austria na Prussia yalianza kuvamia shirikisho na kugawana maeneo yake. Mwaka [[1795]] maeneo yote yaligawiwa kati ya majirani hao.
 
Wapolandi walijaribu mara kadha kujikomboa, lakini walipata [[uhuru]] kwa muda tu ([[1807]]-[[1815]] na [[1918]]-[[1939]]).