Mbanjambegu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
added image
Ngazi za chini
 
Mstari 12:
| familia = [[Estrildidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[mshigi|mishigi]])
| jenasi = ''[[Pyrenestes]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[William Swainson|Swainson]], 1837</small>
| subdivision = '''Spishi 3:'''
| spishi = ''[[Pyrenestes minor|P. minor]]'' <small>[[George Ernest Shelley|Shelley]], 1894</small>
* ''[[Pyrenestes ostrinusminor|P. ostrinusminor]]'' <small>([[Louis JeanGeorge PierreErnest VieillotShelley|VieillotShelley]], 1805)1894</small>
* ''[[Pyrenestes sanguineusostrinus|P. sanguineusostrinus]]'' <small>Swainson([[Louis Jean Pierre Vieillot|Vieillot]], 18371805)</small>
* ''[[Pyrenestes sanguineus|P. sanguineus]]'' <small>Swainson, 1837</small>
}}
'''Wabanjambegu''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: [[w:Seedcracker|seedcracker]]) ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Pyrenestes]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Estrildidae]] ambao wanatokea [[Afrika]] tu. Ndege hawa ni baina ya wakubwa kabisa wa familia hii na wana domo mfupi na nene sana. Wanafanana na [[domobuluu|madomobuluu]] lakini domo lao ni jeusi. Kichwa, kidari na mkia ni nyekundu na tumbo na mabawa ni nyeusi, kahawia au zaituni kijani. Hula [[mbegu]] hasa na [[mdudu|wadudu]] pia, hususa makinda. Tago lao ni tufe la [[nyasi|manyasi]] au [[tete|matete]] lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga [[yai|mayai]] 3-4.