Béjaïa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d #WPWP #WPWPARK
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Béjaïa 02.jpg|thumb|Béjaïa]]
'''Béjaïa''' zamani ilijulikana kama '''Bougie''' na '''Bugia''' na ni [[Bandari|mji wa bandari]] kwenye Ghuba ya Béjaïa katika nchi ya [[Algeria]]; ni mji mkuu wa Mkoajimbo wala [[Béjaïa]], Kabylia. Béjaïa ni jiji kubwa zaidi inayotumia lugha ya [[Tamazight|Kabyle]] .
 
Mji huo ukounatazamana mguuni pana mlima Yemma Gouraya ambapo mwonekano wake unafananishwa na umbo la mwanamke aliyelala. Maeneo mengine ya karibu ni pamoja na pwani ya "Aiguades" na "Pic des Singes" (Monkey Peak); hapo wako nyanyi aina ya Barbary Macaque walio hatarini kuangamizwa. Sehemu hizo zote ziko katika Hifadhi ya Kitaifa ya Gouraya. Mto Soummam unapita katikati ya mji.
 
Wakati wa ukoloni wa Ufaransa, hapo zamani mji uliandikwa kwa tahajia ya ya Kifaransa kwa mfano '' Bougie''. <ref name="OED">{{cite web|url=http://www.oed.com/view/Entry/21989|title=Bougie (n)|work=Oxford English Dictionary|publisher=Oxford University Press|access-date=29 November 2012|quote=Etymology: < French bougie wax candle, < Bougie (Arabic Bijiyah), a town in Algeria which carried on a trade in wax}} ''Available online to subscribers''</ref>