Ujuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Kimsingi tunaona [[tofauti]] kati ya ujuzi na [[rai]] au [[hoja]] tupu. Rai na hoja zinakuja pamoja na [[hisia]] na maarifa ambayo mara nyingi haikutafakariwa kimakini. Kinyume chake ujuzi ni yale tunayoona kuwa yana [[kiwango]] kikubwa cha [[uhakika]] baada ya kujadiliwa na watu wengi katika [[mchakato]] unaoeleweka. Lakini kila ujuzi una kiwango cha kukosa uhakika kwa sababu [[uwezekano]] wa ma[[kosa]] katika kuelewa [[uhalisia]] unabaki kila [[wakati]].
 
Katika [[falsafa]], [[elimu]] ya jinsi ya kupata ujuzi huitwa [[epistomolojia]]. Mwanafalsafa [[Plato]] alieleza ujuzi kuwa "rai ya kweli yenye msingi mzuri" (kwa [[Kiingereza]] "justified true belief").Ngeli ya ujuzi(U,ZI)
 
{{mbegu}}