Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: Disambiguation links
 
Mstari 2:
 
Ndugu nimeondoa michango yako kwenye ukurasa [[Etimolojia ya Neno Zanzibar]]. Kwa bahati mbaya hujaleta ushahidi wowote, pia hatukubali maoni ya watu binafsi wanaoingiza majina yao. Ukiwa na ushuhuda unakubalika -hapa umeshauriwa kuangalia [[Wikipedia:Mwongozo]]- karibu kuchangia! '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 10:59, 8 Oktoba 2021 (UTC)
 
:Nimeondoa pia nyongeza kwenye makala [[Tanganyika (maana)]] kwa sababu zilezile; pia maelezo hayo hayakulingana na kazi ya [[Msaada:Maana|makala ya maana]]. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 11:02, 8 Oktoba 2021 (UTC)