Bombomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 5:
[[Image:M60closeup2002.jpg|thumb|Bombomu nzito kwenye manowari]]
 
[[Bombomu]] (au: '''bunduki ya mtombo'''; '''bunduki ya rashasha''') ni [[silaha ya moto]] kubwa kiasi inayofyatulia [[risasi]] nyingi za mfululizo muda wote kiwashio cha silaha inashikwa hadi akiba ya ramia imekwisha.
mfululizo muda wote kiwashio cha silaha inashikwa hadi akiba ya ramia imekwisha.
 
Akiba ya [[ramia]] iko ama katika chemba yake au ramia zimepangwa katika ukanda unaopita kwenye bombomu. Bombomu ndogu hubebewa na askari mmoja lakini modeli nzito kiasi huhitaji watu wawili hadi watatu.