Tofauti kati ya marekesbisho "Joseph Kabila"

243 bytes added ,  miezi 6 iliyopita
no edit summary
(alikuWa, kukua ameshaacha miaka mingi!)
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Katika [[uchaguzi]] wa kitaifa wa tarehe [[30 Julai]] [[2006]] alipata [[kura]] nyingi kuliko wagombea wote kuwa rais lakini hakufikia [[nusu]] ya kura zote. Katika uchaguzi wa pili kati yake na [[Jean-Pierre Bemba]] alishinda akathibitishwa kuwa rais tarehe [[17 Novemba]] [[2006]]. Joseph Kabila ni rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyechaguliwa na wananchi wote katika uchaguzi huru.
 
Mnamo Oktoba 2021, Joseph Kabila alitetea tasnifu yake ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Johannesburg. Shahada ya uzamili katika sayansi ya siasa na uhusiano wa kimataifa alitunukiwa mwishoni mwa masomo yake ambayo yalidumu kwa miaka mitano.
 
== Maisha yake ==