Tandala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Tag: Disambiguation links
Mstari 26:
:''[[Tragelaphus sylvaticus|T. sylvaticus]]'' <small>([[Anders Erikson Sparrman|Sparrman]], 1780)</small>
}}
'''Tandala''' (kwa [[Kiingereza]]: kudu) ni [[mnyama|wanyama]] wa [[jenasi]] ''[[Tragelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. [[Spishi]] nyingine huitwa '''bongo''', '''kulungu''', '''malu''', '''nyala''' au '''nzohe'''.

Wanatokea [[Afrika]] katika maeneo yenye [[mti|miti]] kutoka [[nyika]] hadi [[msitu]].

Wana milia na madoa nyeupemeupe juu ya [[rangi]] ya [[kahawa]] au kijivu. Dume ni kubwamkubwa kuliko jike na ana [[pembe]] ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe.

Wanyama hawahao hula [[jani|majani]], [[nyasi|manyasi]], [[tunda|matunda]] na [[kiazi|viazi]] vya gugu.
 
==Spishi==