Bohemian Rhapsody : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Bohemian Rhapsody''' ni [[wimbo]] wa [[bendi]] ya rock[[Rock]] ya Kiingereza[[Uingereza]] [[Queen]] . Ilitungwa na [[Freddie Mercury]] ikatolewa kwenye [[albamu]] yao ya [[mwaka]] [[1975]] ''[[A Night at the Opera]]''.
 
==Muundo==
''Bohemian Rhapsody'' inaundwa kwaina sehemu sita:<ref>[http://www.queensongs.info/the-book/songwriting-analyses/no-synth-era/a-night-at-the-opera/bohemian-rhapsody.htm Bohemian Rhapsody], tovuti ya queensongs.info </ref>
:{|
|-
Mstari 19:
 
== Video ==
Kampuni ya EMI iliyotoa albamu ilikuwa na wasiwasi juu ya wimbo ikaona afadhali kutengeneza video ili kuongeza umaarufu wake. Wimbo pamoja na video zilifanyikiwazilifanykiwa sana na kuwa kielelezo kwa kawaida ya baadaye ya kutangaza nyimbo na bendi kwa njia ya video.<ref>{{cite journal|last=Muikku|first=Jari|date=1990|title=On the role and tasks of a record producer|url=https://archive.org/details/sim_popular-music-and-society_spring-1990_14_1/page/25|journal=Popular Music and Society|volume=14|issue=1|pages=25–33|doi=10.1080/03007769008591381}}</ref>
 
== MafanyikioMafanikio kwenye chati ==
Mwanzoni kampuni ya rekodi ilikuwa na wasiwasi kama wimbo huo utapokewa kwenye vituo vya redio kwa sababu ya urefu wake (dakika 5 na sekunde 55) na muundo wake uliokuwa tata ukilinganishwa na nyimbo za siku zile<ref>{{cite news|title=Bohemian rhapsody celebrates 40&nbsp;years: 19&nbsp;things you didn't know about the queen anthem|date=30 October 2015|newspaper=Express online|url=http://www.express.co.uk/entertainment/music/615750/Bohemian-Rhapsody-facts-Queen-40-years-anniversary|access-date=28 September 2016|archive-url=https://web.archive.org/web/20160921172451/http://www.express.co.uk/entertainment/music/615750/Bohemian-Rhapsody-facts-Queen-40-years-anniversary|archive-date=21 September 2016|url-status=live}}</ref>. Walifanya majaribio kwa kuitoa awali kwa kituo cha redio ya Capital Radio; katika wikendi moja ilisikika mara 14 na wasikilizaji walipenda sana<ref>https://www.nytimes.com/2005/12/27/arts/music/unconventional-queen-hit-still-rocks-after-30-years.html Chiu, David (27 December 2005). "Unconventional Queen Hit Still Rocks After 30 Years". The New York Times. Retrieved 12 April 2010.</ref>. Baadaye ikawa #1 kwenye chati nyingi. <ref>"[http://www.soundonsound.com/sos/1995_articles/oct95/queen.html An Invitation To The Opera]." Sound On Sound (October 1995). Retrieved on 2008-11-01.</ref> Sasa inachezwa kwenye redio kwa urefu kamili.
 
Mstari 31:
 
[[Jamii:Nyimbo za 1975]]
[[Jamii:Pages with unreviewed translations]]