Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Mnamo Mei 1889 Menelik alifanya [[mkataba wa Wuchale]] alimokubali [[utawala]] wa [[Italia]] juu ya kanda ya [[pwani]] pamoja na maeneo kadhaa ya [[nyanda za juu]] za [[Tigray]] yakiwemo [[mazingira]] ya [[Asmara]] ya leo.
 
Italia ilidai, kutokana na [[nakala]] ya [[Kiitalia]] ya [[mkataba]] huo, [[haki]] ya [[ulinzi]] juu ya Ethiopia<ref name="Gardner">{{harvnb| Gardner|, Hall (2015|p=). The Failure to Prevent World War I: The Unexpected Armageddon. Ashgate. ISBN 978-1-4724-3058-8, uk.107}}</ref>. Nakala ya Kiethiopia haikuonyesha vipengele kuhusu ulinzi wa Italia juu ya ufalme wa Ethiopia<ref name="Gardner2">{{harvnb|Gardner|2015|p=107}}</ref>. Menelik aliimarisha utawala wake na mwaka [[1893]] alikana mkataba.
 
Italia ilijibu kwa kuvamia Ethiopia kwa jeshi kubwa mnamo Oktoba [[1895]]. Menelik aliweza kukusanya takriban wanajeshi 100,000 na kuwaongoza hadi Tigray (jimbo jirani na Eritrea)<ref>{{harvnb| Marcus|, Harold G. (1995|p=). The Life and Times of Menelik II: Ethiopia 1844–1913. Red Sea Press. ISBN 978-1-56902-010-4, uk 160}}</ref>.
 
Mapigano ya kwanza ndani ya Tigray ya [[Amba Alagi]] ([[7 Desemba]]) na ya [[Mekelle]] hayakuenda vizuri kwa Waitalia. Waethiopia walishindwa kuteka [[boma]] la Mekelle, lakini Waitalia walifungwa ndani kwa [[wiki]] tatu. Mwishowe waliondoka baada ya mapatano na Negus Menelik II na kurudi Eritrea<ref> Prouty, Chris (1986). Empress Taytu and Menilek II: Ethiopia 1883–1910. Red Sea Press, uk. 144–151</ref>.