Sukulenti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
Mstari 1:
[[Picha:Split Aloe.jpg|300px|thumbnail|Jani la [[mshubirimani]] lililokatwa; utomvu unatoka nje|link=https://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Split_Aloe.jpg]]'''Sukulenti'''{{Dead link|date=December 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }} ([[lat.]] ''sucus'' = utomvu; [[ing.]] ''succulents'') au '''Mimea yenye utomvu mwingi''' ni [[mimea]] iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira [[Tabianchi#B: Tabianchi yabisi au nusuyabisi|yabisi]].
 
Mimea hii ya [[Familia (biolojia)|familia]] na [[jenasi]] tofauti ina uwezo wa kutunza maji ndani ya [[Jani|majani]] au [[Shina|mashina]] yao. Kwa hiyo mara nyingi ama majani au shina ni nono kutokana na uwingi wa [[utomvu]] ndani yao.