Desmond Tutu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
== Familia na elimu ==
Desmond Mpilo Tutu alizaliwa katika familia ya mchanganyiko wa [[Waxhosa]] na [[Watwana]]. Babake Zachariah Tutu alikuwa Mxhosa na mwalimu mkuu wa shule ya sekondarimsing na mamake Aletha Matlhare alikuwa mfanyakazi ya nyumbani.<ref name="history">[[South African History Online]]: [http://www.sahistory.org.za/people/archbishop-emeritus-mpilo-desmond-tutu ''Archbishop Emeritus Desmond Mpilo Tutu'']. kwenye ''www.sahistory.org.za'' </ref> Desmond alikumbuka familia ilikuwa maskini. Alisoma ualimu akamwoa Leah Nomalizo Shenxane akazaa naye watatoto wanne Trevor Thamsanqa, Theresa Thandeka, Naomi Nontombi (* 1960) na Mpho Andrea (*1963 mjiini [[London]]) .
 
Ilhali sheria mpya ya apartheid iliagiza kwamba watoto Waafrika wapete elimu ya duni tu, Tutu aliachana na ualimu. Mwaka 1958 alianzisha kazi ya kiroho katika Kanisa Anglikana ya Afrika Kusini (iliyopinga siasa ya [[apartheid]]) akaanza kusoma uchungaji kwenye chuo cha theolojia ya St. Peter huko Johannesburg, aliposo,a kwa mwalimu wake [[Trevor Huddleston]] aliyekuwa mkuu wa chuo. Mnamo mwaka 1960 alihitimu masomo akabarikiwa kama shemasi ya Kanisa Anglika, na mwaka 1961 aIilibarikiwa upadre<ref name="aaregistry">[http://www.aaregistry.org/historic_events/view/desmond-tutu-anglican-archbishop-who-serves-all-humanity Eintrag: ''Desmond Tutu''] auf aaregistry.org</ref>
 
1962 alihamia Uingereza aliposoma theolojia. Aliporudi Afrika Kusini mnamo 29661966 alifundisha kwenye chuo cha theolojia kisha Chuo Kikuu cha Botswana na Uswazi<ref>[http://www.sahistory.org.za/people/archbishop-emeritus-mpilo-desmond-tutu Archbishop Emeritus Mpilo Desmond Tutu]</ref>.
 
Mnamo 1972 alirudi Uingereza alipokuwa mkurukugenzi naibu wa [[Halmashauri ya Kiekumeni ya Makanisa|Mfuko wa Elimu ya Theolojia wa Baraza la Makanisa Duniani]].
 
Drei weitere Jahre verbrachte er als stellvertretender Direktor am ''Theological Education Fund of the World Council of Churches'' in [[London Borough of Bromley|Bromley]]. 1975 kehrte er nach Johannesburg zurück, wo er, als erster schwarzer Afrikaner, anglikanischer [[Dekan (Kirche)|Dekan]] an der St.-Mary’s-Kathedrale wurde.<ref name="Gastrow 1986" />
 
== Maandishi yake ==