Kanisa kuu la Santiago de Compostela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Catedral de Santiago de Compostela agosto 2018 (cropped).jpg|350px|thumb]]
 
'''Kanisa kuu la Santiago de Compostela''' ni kanisa Mashuhurimashuhuri huko [[Galicia (Spain)|Galicia]] nchini [[Hispania]]. Umaarufu wake unatokana na imani kwamba hapa liko kaburi la [[Yakobo Mkubwa|Mtakatifu Yakobo Mkubwa]] aliyekuwa mdogo wa Yesu na mmoja wa mitume</a> wake.
 
Jina la Kihispania "Santiago" ni kifupi cha "Mtakatifu Yakobo" (Iago = Yakobo),
Mahali palianza kutambuliwa kama kaburi la mtume mnamo mwaka 814 na mwaka 829 kanisa la kwanza lilijengwa hapa. Mnamo mwaka 997 kanisa liliharibiwa katika mashambulio ya jeshi la Kiarabu na baada ya kuwafukuza Waarabu katika sehemu hiyo ya Hispania, kanisa lilijengwa upya katoa miaka ya 1075 hadi 1211. Jengo hilo liliendele kuwa shabaha ya wahiji Wakristo kutoka pande zote za Ulaya.
 
Mahali palianza kutambuliwa kama kaburi la mtume mnamo mwaka 814 na mwaka 829 kanisa la kwanza lilijengwa hapa<ref>[[Santiago de Compostela Cathedral#Por03|Portela Silva 2003]]: p.&nbsp;54</ref>. Mnamo mwaka 997 kanisa liliharibiwa katika mashambulio ya jeshi la Kiarabu na baada ya kuwafukuza Waarabu katika sehemu hiyo ya Hispania, kanisa lilijengwa upya katoa miaka ya 1075 hadi 1211<ref name="Bra235">[[Santiago de Compostela Cathedral#Bra99|Bravo Lozano 1999]]: p.&nbsp;235</ref>. Jengo hilo liliendeleliliendelea kuwa shabaha ya wahiji Wakristo kutoka pande zote za Ulaya.
 
Kanisa lilipanuliwa na kupambwa kwenye karne za 16, 17 na 18.
Line 9 ⟶ 11:
Jengo ni muundo wa Mtindo wa Kiroma na nyongeza za [[Mtindo wa kigothi|Kigothi]] na [[Baroko]] baadaye.
 
Kanisa limepokelewa na UNSECO[[UNESCO]] katika orodha ya [[Urithi wa Dunia]]-.
 
== Marejeo ==