Kanisa kuu la Santiago de Compostela : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Catedral de Santiago de Compostela agosto 2018 (cropped).jpg|350px|thumb|Kanisa kuu kwa nje.]]
'''Kanisa kuu la Santiago de Compostela''' ni [[kanisa]] mashuhuri lililoko [[Santiago de Compostela]], huko [[Galicia (
▲'''Kanisa kuu la Santiago de Compostela''' ni kanisa mashuhuri huko [[Galicia (Spain)|Galicia]] nchini [[Hispania]]. Umaarufu wake unatokana na imani kwamba hapa liko kaburi la [[Yakobo Mkubwa|Mtakatifu Yakobo Mkubwa]] aliyekuwa mdogo wa Yesu na mmoja wa mitume wake.
==Historia==
▲Jina la Kihispania "Santiago" ni kifupi cha "Mtakatifu Yakobo" (Iago = Yakobo),
Mahali palianza kutambuliwa kama kaburi la mtume huyo mnamo [[mwaka]] [[814]]. Mwaka [[829]] kanisa la kwanza lilijengwa hUKO<ref>[[Santiago de Compostela Cathedral#Por03|Portela Silva 2003]]: p. 54</ref>.
[[Jengo]] hilo liliendelea kuwa shabaha ya [[hija|wahiji]] [[Ukristo|Wakristo]] kutoka pande zote za [[Ulaya]].
Kanisa lilipanuliwa na kupambwa kwenye karne za 16, 17 na 18.▼
▲Kanisa lilipanuliwa na kupambwa kwenye [[Karne ya 16|karne za
Jengo ni muundo wa Mtindo wa Kiroma na nyongeza za [[Mtindo wa kigothi|Kigothi]] na [[Baroko]] baadaye.▼
▲Jengo ni muundo wa [[Mtindo wa Kiroma]] na nyongeza za [[Mtindo wa
Kanisa limepokelewa na [[UNESCO]] katika orodha ya [[Urithi wa Dunia]]-.▼
== Marejeo ==
Line 17 ⟶ 21:
== Viungo vya Nje ==
** {{Official website|http://www.catedraldesantiago.es}}
** [http://www.sciences.univ-nantes.fr/physique/perso/gtulloue/Meca/Oscillateurs/botafumeiro.html Reconstruction of the swinging motion of the Botafumeiro]
Line 25 ⟶ 28:
** [http://cdm16028.contentdm.oclc.org/cdm/compoundobject/collection/p15324coll10/id/111171 The Art of medieval Spain, A.D. 500-1200], an exhibition catalog from The Metropolitan Museum of Art Libraries (fully available online as PDF), which contains material on Santiago de Compostela Cathedral (p. 175-183)
** [https://www.youtube.com/watch?v=rOoHyEEXxoA Video clip in Youtube]
[[Jamii:Galicia]]
[[Jamii:Makanisa ya Hispania]]
|