Bungo-mavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Nyongeza mabingwa
 
Mstari 13:
| nusuoda = [[Polyphaga]]
| familia_ya_juu = [[Scarabaeoidea]]
| bingwa_wa_familia_ya_juu = [[Pierre André Latreille|Latreille]], 1802
| subdivision = '''Familia 2, nusufamilia 2 za bungo-mavi:'''<br>
* [[Geotrupidae]] (Bungo wachimba vishimo) <small>Latreille, 1802</small>
* [[Scarabaeidae]] <small>Latreille, 1802</small>
** [[Aphodiinae]] (Bungo-mavi wadogo) <small>[[William Elford Leach|Leach]], 1815</small>
** [[Scarabaeinae]] (Bungo-mavi wa kweli) <small>Latreille, 1802</small>
}}
'''Bungo-mavi''' au '''viviringamavi''' ni [[mbawakawa]] wa [[familia (biolojia)|familia]] mbili za [[familia ya juu]] [[Scarabaeoidea]] katika [[oda]] [[Coleoptera]]: [[Scarabaeidae]] na [[Geotrupidae]], ambao hula [[mavi]] ya [[mnyama|wanyama]]. Familia hii ya juu ina familia nyingine pia, lakini familia hizi hazina bungo-mavi. Hata Scarabaeidae na Geotrupidae zina [[spishi]] zisizo bungo-mavi na zinazokula [[mzoga|mizoga]], [[tunda|matunda]] au [[ubao]] inayooza.
 
==Maelezo==