Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{maana nyingine|Mwezi (maana)}}
[[Picha:Earth-Moon System.jpg|right|thumb|200px|[[Chombo cha angani]] [[Galileo (chombo cha anga)|Galileo]] kilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi]]
[[Picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|right|thumb|200px|Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na [[mwanaanga]] Mmarekani [[Bill Anders]] wakati wa safari ya [[Apollo 8]] tarehe [[24 Desemba]] [[1968]]. Safari hii ilipeleka mara ya kwanza watu hadi uga wa graviti ya Mwezi na kuuzunguka.]]
 
'''Mwezi''' (alama: [[file:Moon decrescent symbol (bold).svg|16px|☾]]) ni [[gimba la angani]] linalozunguka [[sayari]], [[sayari kibete]] au [[asteroidi]] fulani. Kuna miezi mingi katika [[anga-nje]]. Vipindi vya kuonekana kwa mwezi wa Dunia vilisababisha matumizi ya "mwezi" kama majira ya wakati.
 
Mabadiliko ya kuonekana kwake yalisababisha katika [[Kiswahili]] [[neno]] "mwezi" litumike kama kipindi cha wakati. Awamu zake nne pengine ndizo chanzo cha [[Juma|majuma]] ya [[siku]] [[Saba (namba)|sabasaba]].