Kituo cha transfoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Electrical_Substation.JPG|right|thumb|300x300px| Kituo cha 115 [[Kilovolti|kV]] hadi 41.6/12.47 kV 5000 kVA 60 [[Hezi|Hz]] chenye swichi ya saketi, vidhibiti, vifunga tena na jengo la kudhibiti mitambo.]]
'''Kituo cha transfoma''' (kwa [[Kiingereza|ing.]] ''electrical substation''''')''' ni kituo tanzu katika mfumo wa kuzalisha na kusambaza [[umeme]] ambapo [[volteji]] inabadilishwa kutoka juu hadi chini au kinyume chake kwa kutumia [[transfoma]]<ref>{{cite web|title=Joint Consultation Paper: Western Metropolitan Melbourne Transmission Connection and Subtransmission Capacity|url=https://jemena.com.au/getattachment/industry/electricity/Network-planning/Western-metropolitan-Melbourne-transmission-connection-and-subtransmission-capacity.pdf.aspx|website=Jemena|publisher=Powercor Australia, Jemena, Australian Energy Market Operator|access-date=4 February 2016}}</ref>. [[Nishati]] ya umeme inaweza kutiririka kupitia vituo vya transfoma kadhaa kati ya kituo cha kuzalisha kwa upande mmoja na watumiaji kwa upande mwingine. Humo volteji ya umeme unaweza kubadilishwa mara kadhaa.