Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.6
Mstari 68:
Hata kama Warusi na Wamarekani walifikisha bendera zao mwezini, hawadai kuwa na mali huko. Katika [[mkataba kuhusu anga-nje]] nchi 192 za Dunia zimekubaliana kuwa Mwezi utaangaliwa sawa na maeneo ya kimataifa ya bahari. Walikubaliana kuwa ni marufuku kupeleka silaha kali kama za nyuklia angani. Mataifa mengi ya Dunia yametia sahihi mkataba huo, isipokuwa nchi chache hususan za Afrika ikiwemo Tanzania.
 
Lakini kuna watu binafsi wanaodai kuwa na mali kwenye Mwezi. Tangu mwaka 1980 yupo Mwamerika mmoja aliyefaulu kuandikisha Mwezi kwa jina lake kwenye ofisi ya msajili wa viwanda [[Mji|mjini]] [[San Francisco]] akiendelea kuuza hati za kumiliki maeneo mwezini. Kuna pia familia moja pale Ujerumani iliyorithi hati ambako mfalme wa Prussia kwenye mwaka 1756 alitoa zawadi ya Mwezi kwa mzee wao. Taasisi ya Sheria ya Anga-Nje ''(International Institute of Space Law)'' ilitoa tamko kuwa madai haya hayana msingi wa kisheria <ref>[http://www.iislweb.org/docs/IISL_Outer_Space_Treaty_Statement.pdf Statement by the Board of Directors of the International Institute of Space Law (IISL) on Claims to Property Rights Regarding the Moon and Other Celestial Bodies] {{Wayback|url=http://www.iislweb.org/docs/IISL_Outer_Space_Treaty_Statement.pdf |date=20091222021426 }}, International Institute of Space Law. 2004</ref>.