Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
Graviti ni kani isiyo na kikomo lakini athira yake inapunga kadri magimba yako mbali. Inasababisha mata ya anga-nje kupangwa kwa nyota, mawingu, galaksi na makundi ya galaksi.
 
[[Isaac Newton]] anajulikana kama [[mtaalamu]] aliyeweza kueleza graviti kwa mara ya kwanza kama utaratibu wa kimsingi wa sayansi.
 
==Mifano ya athira ya graviti==
Jiwe likitupwa hewani, litaanguka chini. Hii ni kwa sababu, ingawa kani ya mkono ilipeleka jiwe kwenda juu, kani ya graviti ya Dunia inapunguza kasi ya jiwe na hatimaye inalirudisha jiwe ardhini.
 
Tabia ya kuvutana inaonekana vyema kati ya Dunia na Mwezi. Dunia ni kubwa, inauvuta Mwezi na kuushika kwenye njia yake ya kuzunguka Dunia. Lakini wakati huohuo Mwezi unavuta pia Dunia na hii inaonekana baharini katika mabadiliko ya maji kupwa na maji kujaa kila siku. Maji ya bahari huvutwa na Mwezi kiasi kwamba kwenye sehemu ya Dunia inayotazama Mwezi, maji ya bahari yaliyo moja kwa moja chini ya Mwezi huinuliwa kiasi nusu mita juu ya wastani wa usawa wa bahari yote.
 
[[Isaac Newton]] anajulikana kama [[mtaalamu]] aliyeweza kueleza graviti kwa mara ya kwanza kama utaratibu wa kimsingi wa sayansi.
 
{{mbegu-fizikia}}