Daa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza matini
Nyongeza spishi za Afrika ya Mashariki
Mstari 2:
| rangi = #D3D3A4
| jina = Daa
| picha = ArenicolaMarphysa marinasanguinea.JPGjpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Daa-damu kutoka [[Ulaya]] (''ArenicolaMarphysa marinasanguinea'')
| himaya = [[Animalia]] (Wanyama)
| nusuhimaya = [[Eumetazoa]] (Wanyama wenye tishu za kweli)
Mstari 17:
}}
'''Daa''', '''choo''' au '''mwata''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[bahari]] ([[spishi]] kadhaa kwenye [[maji matamu]] na [[nchi kavu]]) ya [[ngeli]] [[Polychaeta]] ya [[faila]] [[Annelida]] ([[anelidi]]). Spishi nyingi sana huishi katika [[mashapo]] ya [[sakafu ya bahari]] au [[matope]] ya [[ziwa|maziwa]] na [[bwawa|mabwawa]], na spishi zinazoishi karibu na pwani hutumika kama [[chambo]] cha kuvulia [[samaki]]. Spishi nyingine huogelea huru majini na kadhaa zinatokea katika maeneo manyevu ya nchi kavu. Spishi zinazotumika kama chambo huitwa daa kwa kawaida, lakini inapendekezwa kutumia jina hili kwa spishi zote za Polychaeta.
 
==Spishi kadhaa za Afrika ya Mashariki==
* ''Chloeia flava'', [[Daa-moto dhahabu]] ([[w:Chloeia flava|Golden fireworm]])
* ''Cirriformia tentaculata'', [[Daa matamvua-marefu]] ([[w:Cirriformia tentaculata|Red thread-gilled worm]])
* ''Drilonereis logani''
* ''Eunice aphroditois'', [[Daa-vamia]] ([[w:Eunice aphroditois|Sand striker]])
* ''Eunice grubei''
* ''Eunice leucosticta''
* ''Eunice wasinensis''
* ''Eupolymnia nebulosa'', [[Daa-spageti]] ([[w:Eupolymnia nebulosa|Spaghetti worm]])
* ''Haplosyllis spongicola'', [[Daa-sifongo]] ([[w:Haplosyllis spongicola|Sponge worm]])
* ''Harmothoe imbricata'', [[Daa-mgamba]] ([[w:Harmothoe|Scale worms]])
* ''Marphysa macintoshi'', [[Daa-damu wa Macintosh]] ([[w:Marphysa|Marphysa]])
* ''Marphysa mossambica'', [[Daa-damu wa Msumbiji]]
* ''Platynereis dumerilii'', [[Daa-bapa]] ([[w:Platynereis dumerilii|Platynereis dumerilii]])
* ''Pseudobranchiomma longa'', [[Daa-kipepeo mrefu]] ([[w:Pseudobranchiomma longa|Giant fanworm]])
* ''Rhamphobrachium chuni''
* ''Serpula vermicularis'', [[Daa-chokaa]] ([[w:Serpula vermicularis|Calcareous tubeworm]])
* ''Spirobranchus giganteus'', [[Daa Mti-wa-Krismasi]], ([[w:Spirobranchus giganteus|Christmas tree worm]])
* ''Subadyte pellucida'', [[Daa wa Kiti cha Pweza]] ([[w:Subadyte pellucida|Subadyte pellucida]])
* ''Tomopteris rolasi'', [[Daa-planktoni]] ([[w:Tomopteris|Gossamer worm]])
 
[[Jamii:Daa]]