Basiano wa Lodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|150px|Mt. Basiano. '''Basiano wa Lodi''' (kwa Kilatini: '''Bassianus'''; 310 hivi - Siracusa, Sicili...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Kama [[kijana]] aliyekwenda [[Roma]] kwa masomo, na huko aliongokea [[dini]] ya [[Ukristo]]. [[Baba]] yake alitaka aasi na kurudi [[Nyumba|nyumbani]], lakini yeye alikataa na kukimbilia [[Ravenna]].
 
Baada ya kuchaguliwa askofu, alishiriki [[mtaguso wa Akwileia]] ([[381]]) na labda hata [[mtaguso wa Milano]] ([[390]]). AlisainiIli kulinda [[kundi]] lake dhidi ya [[uzushi]] wa [[Ario]], uliokuwa bado na nguvu katika eneo hilo, alipambana kwa [[bidii]] pamoja na [[rafiki]] yake askofu [[Ambrosi]] wa [[Milano]]. Pamoja naye alisaini [[barua]] kwa [[Papa Siricius|Papa Sirisi]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Kanisa la Kiorthodoksi]] kama [[mtakatifu]].