Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Tags: Manual revert KihaririOneshi
Mstari 20:
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na mwimbaji tokea nchini [[Nigeria]] maarufu kama [[Davido]].
 
Nasibu Juma alishinda tuzo nyingi katika Channel O na [https://www.facebook.com Hip-hop Music Awards]. Pia alifanya kazi katika Mkutano Mkuu wa Ndugu Afrika Mei [[2012]].
 
Inaaminika kuwa ni msanii anayelipwa kutumbuiza kwenye tamasha kutoka nchini Tanzania kwa bei ya juu kabisa na makampuni ya [[simu ya mkononi]] mwaka [[2013]], pamoja na kuwa kati ya wasanii wanaopata kipato cha juu zaidi katika sekta ya muziki Afrika Mashariki.