Kani nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
م'''Kani nje''' ''(kwa [[Kiingereza]]: centrifugal force)'' ni [[kani]] inayotokea katika mfumo wa [[mzunguko]] na kuelekea nje. Inasababishwa na [[inesha]] ya [[masi]] ya [[kitu]] kilichopo katika mwendo wa mzunguko. Katika mzunguko mfululizo ni sawa na kani kitovu.
 
Katika maisha ya kila siku tunasikia kani nje tukitumia usafiri. Tukisimama katika basi inayopiga kona tunasikia jinsi gani mwili wetu unasukumwa upande wa nje. Kama gari linapita kona kwa kasi kidogo, vitu au mizigo inaweza kuanguka.
 
Kwa mfano: [[sayari]] inayozunguka [[Jua]] huwa na [[obiti]] thabiti kama kani nje ya mwendo wake ni sawa na kani ya [[graviti]] inayoivuta kuelekea [[Jua]]. [[Satelaiti]] inayopelekwa kwenye obiti ya [[Dunia]] inahitaji kurekebisha kasi yake hadi kufikia kani nje inayolingana na graviti ya Dunia.