Aventino wa Troyes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' (alifariki Troyes, leo nchini Ufaransa, 4 Februari 538) alikuwa padri halafu abati baada ya kufanya kazi kubwa ya kuk...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''{{PAGENAME}}''' (alifariki [[Troyes]], leo nchini [[Ufaransa]], [[4 Februari]] [[538]]) alikuwa [[padri]] halafu [[abati]] baada ya kufanya kazi kubwa ya kukomboa [[watumwa]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/92200</ref>. Anasemekana alikuwa chini ya [[Lupo wa Troyes]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]].