Mcheduara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
 
Mstari 2:
[[Picha:Mcheduara mraba na mshadhari.jpg|250px|thumb|Mcheduara mraba na mshadhari.]]
[[Picha:Cylinder_geometry.svg|right|thumb|150|Mcheduara mraba.]]
'''Mcheduara''' (pia '''silinda'''; ''(kwa [[Kiingereza]]: cylinder)'' ni [[gimba]] la [[Jiometri|kijiometri]] linalofanana na [[kopo]] au kipande cha [[pipa]]. Hivyo [[jina]] lake linaeleza ni [[mche (hisabati)|mche]] wenye [[umbo]] la [[duara]] au [[mviringo]]. Gimba la mcheduara linapakanwa na miduara bapa miwili inayokaa sambamba na kuwa vitako vyake.
 
[[Hisabati|Kihisabati]] mcheduara unaweza kufafanuliwa pia kama [[uso (hisabati)|uso]] ambao ni jumla ya [[nukta]] zote zenye [[umbali]] sawa na [[mstari]] ulio katikati yake unaojulikana kama "[[mhimili]]" wake. Hii ni bila kitako.