Tofauti kati ya marekesbisho "Nembo ya Slovenia"

52 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
No edit summary
 
No edit summary
'''Nembo ya [[Slovenia]]''' ni ngao ya buluu inayoonyesha [[Triglaff (mlima)|mlima wa Triglaff]] ambao ni mlima mkubwa wa nchi yenye ncha tatu.
Mlima unakatwa na mistari miwili ya buluu inayodokeza kwa mawimbi wa bahari ya [[Adria]]. Juu yake kuna nyota tatu za rangi ya dhahabu kutoka nembo ya kihistoria ya Utemi wa Celje.
 
Ngao hii pia ni sehemu ya [[bendera ya Slovenia]].