Msaada:Tafsiri ya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tafsiri ya kompyuta''' ni njia ya kuunda makala ambayo inaweza kusaidia kukuza wikipedia hii lakini zaidi imeonekana ni hatari kwa ubora na hadhi ya Wikipedia ya Kiswahili. Matokeo yake mara nyingi ni makala ambazo hazieleweki au zenye makosa mazito ya lugha au maudhui. ==Programu ya kutafsiri ni chanzo cha makosa== Watumiaji wengi, hasa wageni, hutumia tafsiri ya kompyuta lakini bila kuhakikisha usahihi wa matini inayopendekezwa na programu. Hadi sasa...'
 
No edit summary
Mstari 13:
# Tulinganishe matokeo na matini ya makala ya swwiki tunayochungulia. (njia rahisi ni: anzisha jedwali katika word, mwaga tafsiri upande mmoja na makala ya swwiki upande mwingine)
# Tukihakikisha makala ya swwiki ni matini imepokelewa neno kwa neno kutoka google, na Kiswahili kina kasoro, makosa au hakieleweki, tunaamua kama tunaweza kuisahihisha (au kama tunapenda kutumia muda wetu kwa jambo hili) halafu ama tunasahihisha au tunabandika kigezo cha '''<nowiki>{{futa}}</nowiki>''' na kuandikisha makala katika orodha ya [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] (kwa kubofya link yake), ambako mwingine ataiangalia na kuamua.
# Wakabidhi kati yetu wataamua kumzuia mwandishi wa makala kwa kutumia kigezo '''<nowiki>{{zuia tafsiri}}</nowiki>'''>kinachoonyeshwa hapo chini; kwa njia hiyo mwandishi anapata nafasi ya kuwasiliana na kupokea ushauri lakini hawezi kuendelea bila mawasiliano.
 
{{zuia tafsiri}}