Babu wa Kanisa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Otsy.jpg|thumb|350px|''Mababu wa Kanisa'', [[mchoro mdogo]] wa [[karne ya 11]] kutoka [[Kiev]], [[Ukraina]].]]
'''Babu wa Kanisa''' ni [[jina]] la [[heshima]] ambalo kuanzia [[karne IV]] [[Kanisa Katoliki]] limewapatia [[Ukristo|Wakristo]] wa kale (hadi [[mwaka]] [[750]] hivi), wenye [[utakatifu]], [[elimu]] na [[imani]] sahihi]], ambao mafundisho yao yanawezesha kujua [[mapokeo ya Mitume]].
 
Orodha ya kwanza ya mababu wa Kanisa iliandikwa katika [[Hati ya Gelasi]] ([[karne VI]]); baadhi yao waliongezewa jina la [[Mwalimu wa Kanisa]].
 
Muhimu zaidi [[Ukristo wa Mashariki|upande wa Mashariki]] ni: [[Atanasi]], [[Basili Mkuu]], [[Gregori wa Nazienzi]] na [[Yohane Krisostomo]].
 
[[Ukristo wa Magharibi|Upande wa Magharibi]] ni: [[Ambrosi]], [[Agostino wa Hippo]], [[Jeromu]] na [[Papa Gregori I]].
 
==Tazama pia==
*
 
==Viungo vya nje==
Line 28 ⟶ 25:
*[http://www.orthodox.cn/patristics/frchurchnewtrans_en.htm The Fathers of the Church: A New Translation] toleo la Ludwig Schopp katika [[Internet Archive]]
*[http://earlyfathers.com/ Early Church Fathers: History of the Early Church in Portraits]
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Category:Mababu wa Kanisa]]
[[Category:Teolojia]]