Adelaide wa Italia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:16, 17 Julai 2006

Adelaide wa Italia (takriban 931 – 16 Desemba 999) alikuwa binti wa [[Rudolf II], mfalme wa Burgundia. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa Italia. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na Otto I, mfalme wa Ujerumani. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.