Babeli : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Detail des Ischtar-Tors von Babylon.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya geti ya Ishtar ya Babeli]]
'''Babeli''' ilikuwa mji wa nyakati za kale katika [[Mesopotamia]].
Orodha ya wafalme wake ilianza mnamo mwaka [[2300 KK]]. Mfalme mashuhuri wa kwanza alikuwa [[Hammurabi]].
Babeli
Wakati wa Dola la Pili la Babeli mfalme [[Nebukadreza II]] alitawala nchi zote kati ya [[Palestina]] ([[Kanaani]]) hadi [[Ghuba ya Uajemi]]. [[Mabustani ya Semiramis|Bustani ya malkia Semiramis]] ilikuwa moja ya [[maajabu saba ya dunia]]. [[Piramidi]] au [[zigurat]] kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni [[mnara wa Babeli]] unaotajwa katika Biblia.
Wakati ule jeshi la Babeli liliteka mji wa [[Yerusalem]] mwaka [[587 KK]], kubomoa [[hekalu ya Suleimani]] na kuwapeleka [[Wayahudi]] hadi Mesopotamia kwa [[uhamisho wa Babeli]]. Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za [[Biblia ya Kiebrania]] ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.
Mwaka [[539 KK]] Wajemia walivamia Dola la Babeli na kuliteka. Babeli iliendelea kuwa mji muhimu katika Dola la Uajemi. Baada ya ushindi wa Aleksander Mkuu juu ya mfalme Mwajemi [[Darius III]] ilikuwa chini ya utawala wa Wagiriki. Aleksander alikufa Babeli mwaka [[323 KK]] katika jumba la kifalme la Nebukadreza.
|