Tambi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
tahajia
Mstari 3:
[[Image:Wonton noodle soup boston.jpg|thumb|right|Supu ya tambi ya Kichina pamoja na nyama ya kuku]]
 
'''Tambi''' ni [[chakula]] kinachotengenezwa kutoka kwa [[kinyunga]] cha [[unga]] na [[maji]] kuwa kama milia membamba inayopikwa katika maji au supu. Ni chakula muhimu katika nchi nyingi hasa [[Italia]], [[China]], [[Japani]] na [[Korea]]. Siku hizi zimeenea kote duniani. Aina zinazokulikazinazoliwa sana kimataifa ni [[pasta]] zenye asili ya [[Italia]] hasa [[spaghetti]].
 
==Tambi bichi na tambi kavu==