Togo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 53:
}}
[[Image:Togo-ramani kisiasa.png|left|330px|Karte Togos]]
'''Togo''' ni nchi katika [[Afrika ya Magharibi]] kwenye mwambao wa Ghuba la Guinea ya Atlantiki ikipakana na [[Benin]] upande wa mashariki, [[Burkina Faso]] kwa kaskazini na [[Ghana]] kwa mashariki.
Idadi ya wakazi ilikuwa takriban milioni 5,4 mwaka 2005. [[Mji mkuu]] ni [[Lome]].
 
Togo ni nchi ndogo katika [[Afrika]] yenye 56 785 km² pekee kwa umbo la pembenne yenye urefu wa 55o550 km na upana wa takriban 130 km. Mwelekeo wa eneo la nchi ni kaskazini - kusini kuna kanda zotazote za kijiografia ya Afrika ya Magharibi kuanzia pwani lenye machanga na misitu ya minazi kwenye kusini, vilima vya nyanda za juu katikati na [[savana]] pamoja na maeneo [[yabisi]] zaidi ya [[Sahel]] kaskazini.
 
 
==Historia==
Nchi ilianzishwa kama [[koloni]] ya [[Togo ya Kijerumani]] katika pengo kati ya maeneo ya Uingereza na Ufaransa.
Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] koloni ya Kiremimani iligawiwa kati ya majirani chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]] na baadaye ya [[Umoja wa Mataifa]].
Katika Disemba ya 1956 wakazi wa Togo ya Kiinmgereza waliamua kwa kura kubaki na Ghana. Hivyo ni Togo ya Kifaransa ekee iliyopata uhuru mwaka 1960.
Rais wa kwanza alikuwa [[Sylvanus Olympio]].
(ya kuendelea)