Biblia ya Kiebrania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Targum.jpg|right|thumb|265px|Nakala ya Biblia ya Kiebrania ya karne ya 11 pamoja na maelezo ya [[Targum]] kando]]
 
'''Biblia ya Kiebrania''' ni namna mojawapo ya [[Wakristo]] kutaja kirahisi vitabu vitakatifu vya [[Uyahudi]] vinavyoitwa [[Tanakh]] na [[Wayahudi]] wenyewe.
 
Vitabu hivyo, vilivyoandikwa kwa [[KiyahudiKiebrania]] na [[Kiaramu]], vinaheshimiwa pia na Wakristo wote kama [[NenoAgano la MunguKale]] katikawakiamini ya kwamba ufunuo wa vitabu hivi ulikuwa hatua yakeya kwanza ya awali,Mungu iliyokuwailiyofuatwa baadaye na hatua ya maandalizipili au "[[Agano Jipya]]" kwa ujio wa [[Masiya]], yaani [[Yesu]], ambaye anatangazwa wazi zaidi katika vitabu vya [[Agano Jipya]].
 
Kuna wataalamu Wakristo wanaopendelea kuliita vitabu vya Agano la Kale kwa jina la Biblia ya Kiebrania ili wasionekane wanavikosea heshima vitabu ambavyo kwa Wayahudi si jambo la "kale", tofauti na msisitizo wa [[Nyaraka kwa Waebrania]], hasa katika sura ya 8.
Hivyo kichwa cha [[Kilatini]] "Biblia Hebraica" limekuwa jina la kawaida kwa matoleo ya kitaalamu ya maandiko haya.